TAARIFA YA JESHI LA POLISI, WALIOTEKWA WAKUTWA WAMEKUFA, MMOJA AKATWA VIPANDE, MMOJA ANYOFOLEWA SEHEMU ZA SIRI

TAARIFA YA JESHI LA POLISI, WALIOTEKWA WAKUTWA WAMEKUFA, MMOJA AKATWA VIPANDE, MMOJA ANYOFOLEWA SEHEMU ZA SIRI

Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa. Tukio la kwanza ni tukio la Samwaja Sifael Said,miaka 22 mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu kutoweka tangu Agosti 8,2024 katika mazingira ya kutatanisha na Agosti 23,2024 mwili wake kukutwa umefukiwa kwenye shimo huku sehemu zake […]

Read More
 BARABARA ZA VIJIJINI KUFUNGUA RUANGWA – MAJALIWA

BARABARA ZA VIJIJINI KUFUNGUA RUANGWA – MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kufungua mtandao wa barabara za vijijini katika wilayaya Ruangwa ili ziweze kusaidia wananchi kusafirisha mazao yao. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa alitoa kauli hiyo jana jioni (Ijumaa, Agosti 23, 2024) wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namikulo, Kata ya Chunyu, wilayani Ruangwa, […]

Read More
 HOSPITAL YA WILAYA YA BUMBULI KUANZA KUTOA HUDUMA SEPTEMBER MOSI

HOSPITAL YA WILAYA YA BUMBULI KUANZA KUTOA HUDUMA SEPTEMBER MOSI

Raisa Said, Bumbuli Shughuli za tiba katika Hospitali mpya ya Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli, mkoani Tanga zinatarajia kuzinduliwa Septemba mosi, mwaka huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Baraka Zikatimu amaesema hapa. Akijibu swali lililoulizwa na mmojawapo wa wajumbe wa Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo wakati wa kikao cha robo ya nne, Zikatimu amesema […]

Read More
 WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI – DKT. BITEKO

WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI – DKT. BITEKO

📌Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi 📌Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa 📌 Vitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda haki. Hayo yamebaibishwa leo Agosti 20, […]

Read More
 SERIKALI YAOKOA DOLA 600MILIONI CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA MIEZI MINNE YA DP WORLD BANDARINI

SERIKALI YAOKOA DOLA 600MILIONI CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA MIEZI MINNE YA DP WORLD BANDARINI

Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua kwa gharama za usafirishaji wa mizigo kumechochea ukuaji wa uchumi na kuongeza ajira kwa wananchi ikiweka Tanzania katika […]

Read More
 TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025

📌Wadau Sekta ya Nishati zaidi ya 1000 kushiriki 📌Dkt. Biteko awataka wadau kushirikiana kuelekea mkutano huo 📌Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika kikao cha maandalizi ya Mkutano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) […]

Read More