WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo, Utalii na Masuala ya Teknolojia. Ameeleza hayo baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Agosti 13, 2024. Mheshimiwa Majaliwa […]

Read More
 SIASA ZA MACHAFUKO HAZIKUBALIKI TANZANIA

SIASA ZA MACHAFUKO HAZIKUBALIKI TANZANIA

SIASA zenye dalili za kuleta machafuko nchini Tanzania zinapaswa kupigwa marafuku kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikamatwa na Polisi jijini Mbeya kwa kukiuka zuio la kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa chama hicho. Jeshi la Polisi kupitia Msemaji wake David Misime lilieleza sababu ya kuzuia […]

Read More
 MMAHA KUKUTANA NA WAZEE KUJADILI CHANGAMOTO YA MMOMONYOKO WA MAADILI HANDENI

MMAHA KUKUTANA NA WAZEE KUJADILI CHANGAMOTO YA MMOMONYOKO WA MAADILI HANDENI

Raisa Said, HandeniKufuatia matukio ya ukatili wa kijinsia ambayo yametokea hivi karibuni wilayani Handen, Taasisi ya Marafiki wa Maendeleo wa Wilaya ya Handeni MMAHA imepanga kukutana na wazee wa wilaya hiyo ili kujadiliana nao juu ya mmomonyoko wa maadili unaokabili jamii katika wilaya hiyo, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 2020, Mriam Mwnilwa amesema […]

Read More