WAZIRI MKUU MAJALIWA ANADI SABABU 10 ZA KUWEKEZA TANZANIA

WAZIRI MKUU MAJALIWA ANADI SABABU 10 ZA KUWEKEZA TANZANIA

Ni katika jopo la wafanyabiashara mahiri wa Marekani WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa sababu 10 zinazoweza kumfaya mfanyabiashara yeyote kutoka Marekani avutiwe kuwekeza nchini. Amezitaja sababu hizo kuwa ni mahusiano imara, sera thabiti za kiuchumi, mazingira ya amani na uthabiti, nafasi ya kijiografia ya nchi, uwepo wa masoko makubwa, uwepo wa nguvu kazi ya vijana […]

Read More
 BALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI BOMBA LA MAFUTA

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI BOMBA LA MAFUTA

Raisa Said, Tanga BALOZI wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, amewataka waandishi wa habari wa Tanzania kuchukua jukumu la kuripoti ujenzi unaoendelea wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linaloanzia Hoima, Uganda hadi Chongoleani, Jijini Tanga. , Tanzania. Akitembelea kituo cha gati cha mradi huo katika Kata ya Chongoleani, iliyoko […]

Read More
 WAZIRI MKUU KUZINDUA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI

WAZIRI MKUU KUZINDUA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kesho Jumatano Septemba 11, 2024 anatarajiwa kuzindua tathimini huru na ya kina ya miaka mitano ya utekelezaji wa mpango wa kuboresha Mazingira ya Biashara nchini Tanzania. Leo Septemba 11, 2024, akiwa Jijini Arusha kwenye Kituo cha Uwekezaji (TIC) Kanda ya Kaskazini, Waziri wa nchi, […]

Read More
 AWESO AELEKEZA KAZI KUFANYIKA USIKU NA MCHANA MRADI WA MAJI CHANZO CHA ZIWA VICTORIA SIMIYU

AWESO AELEKEZA KAZI KUFANYIKA USIKU NA MCHANA MRADI WA MAJI CHANZO CHA ZIWA VICTORIA SIMIYU

BARIADI-SIMIYU Waziri wa Maji Jumaa H. Aweso leo tarehe 07/09/2024 ametembelea Mradi wa Maji wa Mabadiliko ya Tabia Nchi Simiyu wa Chanzo cha Ziwa unaogharimu kiasi cha zaidi ya Bilioni 400 wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu.Mradi huu utanufaisha wilaya za Bariadi, Busega, Itilima, Meatu na Maswa. Waziri Aweso amekagua hatua ya mradi na baadae kutoa […]

Read More
 RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA AFRIKA (FOCAC)

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA AFRIKA (FOCAC)

Leo Tarehe 5 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing. Katika hotuba yake, alisisitiza kujitolea kwa Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na China, hasa katika miundombinu na maendeleo ya kiuchumi. Jambo kuu lililozungumziwa ni kufufua mradi wa reli ya Tanzania na […]

Read More