TASAF, UNICEF WAUNGANA MAPAMBANO DHIDI YA UTAPIAMLO, WAZINDUA MPANGO WA STAWISHA MAISHA

TASAF, UNICEF WAUNGANA MAPAMBANO DHIDI YA UTAPIAMLO, WAZINDUA MPANGO WA STAWISHA MAISHA

SERIKALI kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF)kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na hasa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) wamezindua Mpango wa Stawisha Maisha kwa lengo la kuimarisha hali za lishe kama sehemu ya kukabiliana na changamoto ya utapiamlo kwa kaya masikini ambazo ziko kwenye mpango wa TASAF. Uzinduzi wa Mpango huo umefanyika Oktoba […]

Read More
 UFANISI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAILETA KAMPUNI YA VOLKSWAGEN’ TANZANIA

UFANISI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAILETA KAMPUNI YA VOLKSWAGEN’ TANZANIA

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea bandari hiyo na kueleza kuridhishwa kwake na ufanisi kufuatia uwekezaji na maboresho makubwa yaliyofanyika bandarini hapo. Akiongea baada ya kutembelea eneo la kuhifadhia magari yanayowasili bandarini hapo kutoka […]

Read More
 RAIS SAMIA ALIPIA GHARAMA WASHIRIKI KUTOKA ARUSHA WANAOIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA PIKIPIKI AFRIKA.

RAIS SAMIA ALIPIA GHARAMA WASHIRIKI KUTOKA ARUSHA WANAOIWAKILISHA TANZANIA MASHINDANO YA PIKIPIKI AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross Championship kwaajili ya kushiriki mashindano ya FIM Africa Motocross of African Nations yanayofanyika Oktoba 25- 27, 2024. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian […]

Read More
 PROFESA KITILA MKUMBO AVUTIWA NA UTENDAJI WA BANDARI DAR

PROFESA KITILA MKUMBO AVUTIWA NA UTENDAJI WA BANDARI DAR

Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam Waziri Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepongeza uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanywa na kampuni ya kimataifa ya uwekezaji ya DP World katika bandari ya Dar Es Salaam na kuangalia ni namna gani Serikali itaendelea na maboresho zaidi katika bandari hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makusanyo ya […]

Read More
 BUMBULI YAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI, 105.7% WAJIANDIKISHA

BUMBULI YAVUKA LENGO LA UANDIKISHAJI, 105.7% WAJIANDIKISHA

Halmashauri ya Bumbuli, Mkoani Tanga, imefanikiwa kuvuka lengo la uandikishaji kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa kupata asilimia 105.7. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Baraka Zikatimu, alifafanua kuwa lengo lilikuwa kuandikisha watu 88,395, lakini walioandikishwa ni 93,392. Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, alisema kuwa kambi yake ya hamasa, kwa ushirikiano na viongozi wa chama […]

Read More
 TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII BARANI AFRIKA

TANZANIA YANYAKUA TUZO NNE ZA UTALII BARANI AFRIKA

Kwa mara nyingine tena, Tanzania imeibuka Mshindi kwa kujinyakulia tuzo nne katika Tuzo za Utalii zinazotolewa na World Travel Awards ya Nchini Marekani. Tuzo hizo ni pamoja na Eneo Bora la Utalii Afrika (Tanzania), Bodi Bora ya Utalii Afrika (TTB), Hifadhi Bora ya Afrika (Serengeti), na Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Mlima Kilimanjaro). Tuzo hizi […]

Read More
 SERIKALI YATOA SH3.5BILIONI KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA

SERIKALI YATOA SH3.5BILIONI KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo. Amefikia hatua hiyo baada ya Mhandisi Zengo kukiri kuwa walishapokea fedha kiasi cha sh.bilioni 3.5 ambazo zililenga kujenga barabara […]

Read More
 ROYAL TOUR YA RAIS SAMIA YAING’ARISHA SERENGETI NA MLIMA KILIMANJARO KIMATIFA

ROYAL TOUR YA RAIS SAMIA YAING’ARISHA SERENGETI NA MLIMA KILIMANJARO KIMATIFA

Taasisi ya World Travel Awards imetangaza hifadhi mbili za Tanzania kuwa washindi katika vipengele vya Hifadhi na kivutio bora cha utalii barani Afrika kwa mwaka 2024 ambapo ni hifadhi ya Taifa Serengeti ambayo imetangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha Hifadhi Bora Barani Afrika (“Africa’s Leading National Park 2024”) wakati Mlima Kilimanjaro ikitangazwa kuwa Kivutio bora […]

Read More