“UBINAFSI UNALIANGAMIZA TAIFA, TANZANITE IMEANGUKA” GAMBO

“UBINAFSI UNALIANGAMIZA TAIFA, TANZANITE IMEANGUKA” GAMBO

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kufanya mabadiliko ya sheria na kanuni zinazosimamia biashara ya madini ya Tanzanite, akisisitiza kuwa zuio la kuuza madini hayo nje ya eneo la Mererani linachangia hasara kubwa kwa taifa. Gambo ameyasema hayo Ijumaa, Oktoba 18, 2024, wakati wa mkutano na wafanyabiashara wa madini na ma-brokers uliofanyika katika […]

Read More
 MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

MAKAMBA APIGA KAMBI BUMBULI, KUONGEZA KASI YA UANDIKISHAJI

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amewataka wakazi wa jimbo hilo kuendeleza kasi ya kujiandikisha ili kufikia au kupita lengo lilojiwekea la uandikishaji. Mbunge huyo ambaye amepiga kambi jimboni kwa ajili ya kuhamasisha uandikishaji amewapongeza wakazi wa jimbo hilo kwa kujitokeza kwa wingi na kuwezesha halmashauri ya Bumbuli kuwa miongoni mwa halmashauri zinazofanya vizuri […]

Read More
 WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA BABA WA KATIBU MKUU KIONGOZI

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA BABA WA KATIBU MKUU KIONGOZI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2024 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Mzee Jeremiah Kusiluka ambaye ni Baba mzazi wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka yaliyofanyika katika kijiji cha Madihani, Makete mkoani Njombe. Akitoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia […]

Read More
 GAMBO AJIANDIKISHA MTAA WA MSASANI KATA YA MURIET ARUSHA

GAMBO AJIANDIKISHA MTAA WA MSASANI KATA YA MURIET ARUSHA

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo leo tarehe 12/10/2024 amejiandikisha kwenye Mtaa wa Msasani Kata Muriet. Gambo amewahamisisha wananchi wa Jimbo la Arusha kwenda kujiandikisha kwenye Mitaa wanaoishi ili kuweza kupata fursa ya kuchagua viongGambo ajiandikisha Mtaa wa Msasani Kata ya Muriet Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo leo tarehe 12/10/2024 amejiandikisha kwenye […]

Read More
 TFS YAIBUKA NA UTALII WA NYUKI KATIKA MAONESHO YA SITE 2024

TFS YAIBUKA NA UTALII WA NYUKI KATIKA MAONESHO YA SITE 2024

Dar es Salaam, Oktoba 11, 2024 – Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo imekuwa kivutio kikubwa katika Maonesho ya Nane ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE), yaliyofunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mlimani City, Jijini […]

Read More