WADAU TPA WARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BANDARI NCHINI

WADAU TPA WARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BANDARI NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WADAU mbalimbali na watumiaji wa huduma za bandari wameridhishwa na ubora wa huduma sambamba na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) wakisema mamlaka imefanikiwa kukidhi matarajio ya wateja wake pamoja kuyafikia malengo iliyojiwekea. Wakizungumza katika kilele cha wiki ya huduma kwa wateja Jijini Dar es […]

Read More
 VIJANA TUMEANZIA ALIPOKANYAGA MWALIMU NYERERE

VIJANA TUMEANZIA ALIPOKANYAGA MWALIMU NYERERE

Mwaka 1967 Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliongoza matembezi kuanzia kijijini kwao Butiama kwenda Mwanza mjini kuunga mkono matokeo ya Azimio la Arusha. Baada ya miaka 57, leo Oktoba 9, 2024 Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tumeanzia pale alipopita Mwalimu Julius K. Nyerere kwa kutembea zaidi ya kilometa 200 kuenzi miaka 25 ya tangu […]

Read More
 WABUNGE KENYA WAMNG’OA GACHAGUA MADARAKANI, 281 WAPIGA KURA YA KUMKATAA

WABUNGE KENYA WAMNG’OA GACHAGUA MADARAKANI, 281 WAPIGA KURA YA KUMKATAA

Bunge la nchi ya Kenya limefanya uamuzi wa kumfurusha Makamu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia kura iliopigwa. Katika kura hiyo, wabunge 281 waliunga mkono hoja ya kumuondoa kiongozi huyo madarakani huku wabunge 44 wakipiga kura kupinga na mmoja akikataa kupiga kura na hivyo kufikia theluthi mbili ya kura zilizohitajikakumuondoa afisini. Gachagua anakabiliwa na tuhuma mbalimbali […]

Read More
 FEZA SCHOOLS YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA

FEZA SCHOOLS YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA

Na Mwandishi wetu GeitaWakati Monyesho ya 7 ya teknolijia ya madini yakiendelea mkoani Geita makamapuni mbalimbali yameshiriki katika maonyesho hayo ikiwa ni makampuni yanayo sambaza bidhaa mbalimbali migodini hasa wauzaji wa Magari na Mitambo Kwa mwaka huu kitu cha kipikee ni ushiriki wa shule binafsi katika maonyesho hayo ambayo Shule za Waja na Savannah Plain […]

Read More
 WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA MAKUSANYO

WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA MAKUSANYO

Ataka fedha za ndani zitumike katika kutekeleza miradi ndani ya halmashauri. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka maafisa masuhuli kwenye Halmashauri zote nchini waweke msisitizo wa kutumia mifumo ya kielektroniki katika makusanyo badala la kukusanya kwa fedha taslimu ‘Cash’. Amesema kwa kufanya hivyo kutasaidia kuongeza mapato katika maeneo yao na kuepuka vishawishi vya kutumia vibaya fedha […]

Read More