TAMASHA LA PEMBA TOURISPORT LAFUNGULIWA

TAMASHA LA PEMBA TOURISPORT LAFUNGULIWA

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani iliyopo Mkoa wa Pemba Kusini, Hamad Omar Bakari ameipongeza Kamisheni ya Utalii na Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kwa juhudi zao za kuandaa Bonanza la michezo ya kitalii na utamaduni liitwalo Pemba Tourisport and Cultural Bonanza. Bakari ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa bonanza hilo uliofanyika Novemba […]

Read More
 RC MAKONDA ASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, AOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI.

RC MAKONDA ASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, AOMBA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano Novemba 27, 2024 ameungana na Watanzania wengine kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye kituo alichokuwa amejiandikishia cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha. Mara baada ya kupiga kura asubuhi hii, Mhe. Makonda akizungumza na wanahabari amewasihi wananchi […]

Read More
 ZITTO AWATAKA KIGOMA KUPIGA KURA YA HAPANA PALE CCM WANAPOBAKI PEKEE, ACT YATOA ONYO KWA WATAKAOJARIBU KUVURUGA UCHAGUZI

ZITTO AWATAKA KIGOMA KUPIGA KURA YA HAPANA PALE CCM WANAPOBAKI PEKEE, ACT YATOA ONYO KWA WATAKAOJARIBU KUVURUGA UCHAGUZI

Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamebakizwa pekee baada ya vyama vya upinzani kuenguliwa. Zitto ametoa wito huo siku ya Jumanne Novemba 26, 2024 wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji […]

Read More
 GAMBO AJITOLEA KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI YA WAENDESHA BODABODA

GAMBO AJITOLEA KUBORESHA MAZINGIRA YA KAZI YA WAENDESHA BODABODA

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia kodi ya ofisi ya chama chao hadi kuanzia Februari hadi Disemba 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya kukutana na viongozi wa waendesha bodaboda na kujadiliana changamoto wanazopitia katika shughuli […]

Read More
 HATUNA HURUMA TUNABEBA VYOTE – DKT. BITEKO

HATUNA HURUMA TUNABEBA VYOTE – DKT. BITEKO

📌 Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia 📌 Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo 📌 Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa […]

Read More