MBUNGE SEKIBOKO AANDIKA HISTORIA MPYA TANGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kudumu wa Kamati ya Bunge Elimu Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko, amewawezesha wanawake zaidi ya 800 kutoka wilaya tisa za Mkoa wa Tanga kupata mafunzo ya ujasiriamali. Mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Husna Sekiboko na kufanyika wilayani Korogwe, yamelenga kuwasaidia wanawake kufikia maendeleo kupitia biashara […]
Read More