TUWAINUE WABUNIFU WAZAWA KUWANADI KIMATAIFA – DKT. BITEKO
📌 Asisitiza Mifumo iboreshwe kuakisi Maendeleo 📌 Serikali kuweka Mazingira wezeshi kwa wadau wa STARTUPs Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za kuwainua wabunifu wawekezaji nchini, bado kuna umuhimu mkubwa wa kuwawezesha wabunifu wetu kukua zaidi ndani na nje ya mipaka ya nchi. Dkt. Biteko […]
Read More