MAMLAKA YAA MAPATO (TRA) KUYAKABILI MAGENDO KWA BOTI YA DORIA ZIWA VICTORIA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amesema wamejipanga kudhibiti magendo kwa kutumia Boti ya Doria iliyozinduliwa Ziwa Victoria. Akizungumza jijini Mwanza baada ya uzinduzi wa Boti ya Doria ya TRA, Bw. Mwenda amesema Magendo yanayofanywa na baadhi ya watu wasiokuwa waaminifu yamekuwa yakichangia kuharibu Uchumi wa Nchi, kuhujumu Biashara za […]
Read More