KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAKOSHWA NA KASI YA TRA
Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Bajeti imeeleza kuridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kukusanya Kodi, kuhudumia wateja na kutoa elimu ya Kodi kwa Wananchi. Akiwa katika mafunzo yaliyoandaliwa na TRA kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mwenyekiti wa Kamati hiyo […]
Read More