KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi ya walipakodi Kodi kwa hiari na kuleta usawa katika ulipaji wa Kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Askofu Mkuu wa KKKT Dk. Alex Malasusa na Kamishna Mkuu wa […]
Read More