KIGAMBONI WAPATA ‘TEKSI ZA BAHARINI’ ULEGA ASEMA NI MATUNDA YA UBUNIFU WA RAIS SAMIA

KIGAMBONI WAPATA ‘TEKSI ZA BAHARINI’ ULEGA ASEMA NI MATUNDA YA UBUNIFU WA RAIS SAMIA

Baada ya miaka mingi ya usumbufu wa usafiri wa kwenda Kigamboni, serikali na kampuni ya Azam Marine zimetangaza ujio mpya wa vivuko utakaopunguza kwa kiasi kikubwa adha ya usafiri kuelekea eneo hilo. Akizungumza katika uzinduzi wa vivuko hivyo, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema vivuko vilivyozinduliwa siku ya Jumatano tarehe 22 Januari 2025, vitaungana na […]

Read More
 MATOKEO KIDATO CHA IV FEZA BOYS YAIBUKA KIDEDEA WANAFUNZI WOTE DARASANI WAPATA ALAM A(DIV ONE)

MATOKEO KIDATO CHA IV FEZA BOYS YAIBUKA KIDEDEA WANAFUNZI WOTE DARASANI WAPATA ALAM A(DIV ONE)

SHULE za FEZA (FEZA SCHOOLS) zinajivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora na ndio siri ya kufanya vizuri kila mwaka katika mitihani ya Taifa ambapo imeendelea kung’ara baada ya wanafunzi wao wote waliofanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka jana kupata daraja la kwanza(div I), huku asilimia zaidi ya 65 wakipata div […]

Read More
 JESHI LA POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI

JESHI LA POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa Vyama vyote […]

Read More
 SAME WAMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LILILOBOMOKA

SAME WAMPA MAUA YAKE RAIS SAMIA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LILILOBOMOKA

Na Mwandishi Wetu WANANCHI wanaotumia barabara ya Same – Mkomazi wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa haraka wa daraja lililovunjika katika kijiji cha Mpirani, Same mapema mwezi huu kutokana na mvua. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameeleza kwamba kukatika kwa daraja hilo kulikata mawasiliano ya barabara […]

Read More
 ACT WAZALENDO: SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG

ACT WAZALENDO: SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG

ACT Wazalendo tunaitaka Wizara ya Afya ya Tanzania, kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa ugonjwa hatari wa Marbug, na itangaze hatua za tahadhari kuzuia kuenea ugonjwa huo Mkoani Kagera. Kufuatia taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa X na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Dkt. Tedros Ghebriyesus tarehe 15 Januari ambazo pia zilichapishwa kwenye tovuti […]

Read More
 SWEDEN KUSHIRIKIANA NA TRA KUCHOCHEA UWEKEZAJI

SWEDEN KUSHIRIKIANA NA TRA KUCHOCHEA UWEKEZAJI

Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlotta Ozaki Macias amesema Nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kuchochea Uwekezaji nchini. Akizungumza wakati alipotembelea Ofisi za TRA makao makuu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15.01.2025 na kukutana na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda, Balozi Macias amesema TRA imekuwa ikiweka […]

Read More
 MAANDALIZI YA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (MISSION 300) YAFIKIA ASILIMIA 95- DKT.BITEKO

MAANDALIZI YA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI AFRIKA (MISSION 300) YAFIKIA ASILIMIA 95- DKT.BITEKO

📌 Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 kutoka milioni 5.2 ya sasa 📌 Asema Mkutano wa Mission 300 umekuwa kivutio duniani; Taasisi za Kimataifa zaonesha nia ya kushiriki 📌 Ataja sababu za mkutano wa M300 kufanyika Tanzania Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]

Read More
 WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

📌 Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa 📌 Rais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea katika mashindano wa CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Read More