HISTORIA MPYA YAANDIKWA KAVAMBUGHU NA MAHUU WAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, ameipongeza Mamlaka ya Maji ya Same na Mwanga (Samwasa) kwa kuhakikisha huduma ya maji inafika katika vitongoji vya Mahuu na Kavambughu. Alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea Kitongoji cha Kavambughu, ambapo alihakikisha kwamba maji yanatoka kama ilivyokuwa agizo la Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ambaye alitoa […]
Read More