NDANI YA MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA, ZAIDI YA TRILIONI 6 ZAPELEKWA KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KOTE NCHINI
Ndani ya miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza zaidi ya trilioni 6 kwenye mamlaka za serikali za mitaa kote nchini. Kati ya fedha hizo, zaidi ya trilioni 1.29 zimetolewa kwa sekta ya afya, ambazo zimewezesha ujenzi wa hospitali za wilaya 129, vituo vya afya 367, majengo 87 ya huduma […]
Read More