BIASHARA SAA 24 ITAONGEZA MAPATO – RC CHALAMILA

BIASHARA SAA 24 ITAONGEZA MAPATO – RC CHALAMILA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema Jiji la Dar es Salaam litakapoanza kufanya biashara saa 24 mapato ya Wafanyabiashara yataongezeka sambamba na kukua kwa uchumi wa nchi kwa ujumla kutokana na kuongezeka kwa wigo wa biashara. Ameyasema hayo leo tarehe 18.02.2025 alipomtembelea Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) […]

Read More
 RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO-MAJALIWA

RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO-MAJALIWA

▪Asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati. ▪Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayeona na kusikiliza matatizo ya watu. ▪Asema CCM itaendelea kuwahudumia Watanzania kwa weledi na uaminifu mkubwa. ▪Asisitiza CCM imeleta, inaleta na itaendelea kuleta miradi ya maendeleo. ▪Asema chama hicho kinasema, kinaahidi na kinatekeleza. Mjumbe wa Kamati Kuu […]

Read More
 MAJALIWA:TUNAKWENDA NA DKT SAMIA NA DKT NCHIMB, CCM IPO TAYARI KWA UCHAGUZI 2025, WANANCHI ITILIMA JIPANGENI

MAJALIWA:TUNAKWENDA NA DKT SAMIA NA DKT NCHIMB, CCM IPO TAYARI KWA UCHAGUZI 2025, WANANCHI ITILIMA JIPANGENI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewahimiza wananchi wa Itilima kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Akizungumza kama […]

Read More
 WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPIGIA DEBE  SILANGA,  NI MBUNGE WA MFANO, MCHAPA KAZI NA MBUNIFU

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPIGIA DEBE SILANGA, NI MBUNGE WA MFANO, MCHAPA KAZI NA MBUNIFU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemsifu Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, kwa ubunifu na juhudi zake katika kuwaletea wananchi maendeleo, akisema kuwa mchango wake umeleta mabadiliko makubwa katika wilaya hiyo. Akizungumza katika Uwanja wa Stendi uliopo katika kata ya Lagangabilili wilayani Itilima mkoani Simiyu siku ya Jumamosi […]

Read More
 ULEGA ATAKA WATAALAMU WAKUNE VICHWA KUONDOA KERO YA FOLENI MIJINI

ULEGA ATAKA WATAALAMU WAKUNE VICHWA KUONDOA KERO YA FOLENI MIJINI

Na Mwandishi Wet WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wataalamu wa wizara hiyo kutumia Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika mkoani Singida kubuni njia zitakapunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya serikali. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa Baraza hilo, Waziri Ulega alisema pamoja na mkutano huo kuwa na ajenda zake za kawaida kisheria, […]

Read More