MBUNGE GAMBO AITAKA SERIKALI KUTOA MAJIBU YA UJENZI WA STENDI YA JIJI LA ARUSHA
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amehoji serikali kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya Jiji la Arusha, akitaka ufafanuzi juu ya sababu za kuchelewa kumpata mkandarasi licha ya ahadi zilizotolewa mara kadhaa bungeni. Akizungumza Jumanne, Februari 11, 2025, bungeni jijini Dodoma, Gambo amesema kuwa ameuliza swali […]
Read More