WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka Wafanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar es Salaam kuwafichua watu wanaokwepa Kodi kwa namna mbalimbali ili wachukuliwe hatua na kuleta ushindani uliosawa sokoni. Akizungumza leo tarehe 04/02/2025 wakati wa kuwasimika Mabalozi wa nyumba kwa nyumba kwaajili ya kusimamia zoezi la kurasimisha biashara ili […]
Read More