TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwaajili ya kushirikiana kuhamasisha ulipaji Kodi wa hiari. Akizungumza baada ya kuingia Makubaliano hayo Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema wameingia Makubaliano hayo ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania […]

Read More
 HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA

HUDUMA JUMUISHI ZA KIFEDHA NI KIUNGO MUHIMU CHA UKUAJI UCHUMI – MAJALIWA

Huduma jumuishi za kifedha ni kiungo cha ukuaji uchumi – MajaliwaWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa huduma jumuishi za kifedha ni kiungo muhimu cha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kuchochea maendeleo ya jamii kwa ujumla. Amesema Serikali kwa kutambua hilo imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau wote ili kuhakikisha sekta ya kifedha inazidi kuwa jumuishi, […]

Read More
 WANA ARUSHA WAASWA KUCHANGAMKIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

WANA ARUSHA WAASWA KUCHANGAMKIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Jumanne Sagini, amepongeza uongozi wa mkoa wa Arusha kwa maandalizi mazuri kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, huku akiwataka wananchi wa Arusha kuchangamkia fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia Mama Samia Legal Aid Campaign. Akizungumza leo Machi 1, 2025, jijini Arusha wakati alipotembelea mabanda […]

Read More