TANZANIA NI TAIFA LINALOENDESHWA VIZURI AFRIKA- BENKI YA DUNIA, YAPONGEZA MAENDELEO YA MIRADI YA UJENZI TANZANIA

TANZANIA NI TAIFA LINALOENDESHWA VIZURI AFRIKA- BENKI YA DUNIA, YAPONGEZA MAENDELEO YA MIRADI YA UJENZI TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Dkt. Zarau Kibwe, amepongeza uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa ni chanzo cha kuongezeka kwa kiwango cha mkopo ambacho Tanzania inaweza kupata kutoka Benki ya Dunia, kutoka Dola bilioni 5 (zaidi ya Shilingi trilioni 10) hadi Dola bilioni 12 za Marekani (zaidi ya Shilingi […]

Read More
 WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA MABASI NZEGA MJINI UJENZI WAGHARIMU SH4.327BILIONI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA MABASI NZEGA MJINI UJENZI WAGHARIMU SH4.327BILIONI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 4.327. Akizungumza baada ya kuzindua kituo hicho ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia 100, Mheshimiwa Majaliwa ameipongeza halmashauri hiyo kwa uamuzi wa ujenzi wa kituo hicho kwani kitaibua fursa za biashara kwa wakazi wa […]

Read More
 WAZIRI MKUU AWABANA WATENDAJI IGUNGA UKOSEFU WA ZAHANATI

WAZIRI MKUU AWABANA WATENDAJI IGUNGA UKOSEFU WA ZAHANATI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kutenga Shilingi milioni 50 kutoka mapato yake ya ndani kwa ajili ya ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Mwamayoka, akisisitiza kuwa wananchi hawapaswi kuendelea kuteseka kwa kukosa huduma za afya. Akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa […]

Read More
 WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MAKOREMO-MGONGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero – Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8 Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao unatarajia kuhudumia wananchi 5,402, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Serikali […]

Read More
 TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

TRA NA TFF WAINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeingia Makubaliano ya Ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwaajili ya kushirikiana kuhamasisha ulipaji Kodi wa hiari. Akizungumza baada ya kuingia Makubaliano hayo Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema wameingia Makubaliano hayo ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania […]

Read More