MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BWAWA LA KIDUNDA.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 Ujenzi wa Bwawa hilo ambalo hadi kukamilika kwake litagharimu shilingi bilioni 335.8 ikiwa ni fedha za ndani umefikia asilimia 28 za utekelezaji. Lengo la mradi huo […]
Read More