BALOZI NCHIMBI APOKELEWA KIBABE RUKWA, MAKADA VYAMA VYA UPINZANI WAREJEA CCM
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jumatano, 2 Aprili 2025, katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mlingo, mjini Tunduru, wanachama wa vyama mbalimbali vya […]
Read More