WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) huku Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma akitarajia kuongoza msafara huo.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bw. Saidi Yakubu ikiwa ni hatua ya kuiunga mkono timu ya Yanga ambao wanatarajia kucheza mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya timu ya Marumo Gallants katika mchezo uliopangwa kuchezwa Mei 17 2023 kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng uliopo mji wa Rustenburg nchini humo.
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu akiongea na
waandishi wa Habari kuhusu Serikali kusaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa
timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya
Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya timu ya Marumo Gallants unotarajiwa
kuchezwa Mei 17 2023 kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng uliopo mji wa Rustenburg
nchini Afrika Kusini.
Bw. Yakubu amesema kuwa Serikali imesaidia safari hiyo kwa kupeleka baadhi ya mashabiki 55 ambao wameondoka wanaondoka Jumapili Mei 14, 2023 ambao wataungana na Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini ili kuwapa hamasa ya kutosha wachezaji kushinda mchezo huo muhimi kulelekea hatua ya fainali ya mashindano hayo.
“Hii safari Serikali imesaidia Yanga kupeleka baadhi ya mashabiki 55 ambao wataondoka kesho Jumapili kueleka Afrika Kusini na huko wataungana na Watanzania waishio Afrika Kusini katika kuhakikisha wanatoa sapoti ya kutosha, nimeongea na Balozi nawao wamejiandaa kuwapokea kwa sababu pia wameanda mabasi kutoka kila mji kuhakikisha Watanzania wanakuwa wengi”
Katibu Mkuu ameongeza kuwa “Katika mechi hizi, lolote linaweza kutokea lakini Serikali pamoja na Yanga kupitia idara tofauti tumejipanga vizuri, Waziri Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana anatoa salamu nyingi, pongezi na kuwatakia ushindi katika mchezo wa marudiano. Naibu Waziri Mhe. Hamisi Mwinjuma ataungana na nyinyi kwa upande wa Serikali na anapenda kukaa na mashabiki kushangilia muda wote,” alisema Bw. Yakubu.
Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa timu ya Yanga, Bw. Andrew Ntime amesema kuwa wao kama timu wamejiandaa vizuri kuhakikisha wanapata matokeo kwenye mchezo huo huku akitoa shukrani kwa Serikali kuwa mstari wa mbele wakati wote wa mashindano hayo na kutoa mchango wake wa kupeleka mashabiki hao kwenye mchezo huo wa marudiano.
44 Comments
We also performed considerable comparisons of stock,えろ 人形price ranges, and readily available characteristics on precisely the same designs throughout
индийский пасьянс гадать индийский пасьянс гадать .
нарколог вывод из запоя ростов нарколог вывод из запоя ростов .
карниз электрический http://provorota.su/ .
тревожная кнопка мвд стоимость тревожная кнопка мвд стоимость .
вывод из запоя на дому ростов на дону вывод из запоя на дому ростов на дону .
вывод из запоя анонимно ростов вывод из запоя анонимно ростов .
вызов нарколога на дом цена вызов нарколога на дом цена .
вызов нарколога на дом круглосуточно narkolog-na-dom-krasnodar12.ru .
кодировка на дому http://www.xn——7cdhaozbh1ayqhot7ooa6e.xn--p1ai .
дом интернат в николаевке дом интернат в николаевке .
вывод из запоя в стационаре вывод из запоя в стационаре .
краснодар вывод из запоя краснодар вывод из запоя .
вывод из запоя краснодар клиника вывод из запоя краснодар клиника .
вывод из запоя на дому похмельная http://vyvod-iz-zapoya-ekaterinburg.ru/ .
нарколог на дом екатеринбург цены https://www.vyvod-iz-zapoya-ekaterinburg11.ru .
смешные фотографии kartinkitop.ru .
продвижение сайта в топ москва продвижение сайта в топ москва .
лечение наркозависимости в стационаре лечение наркозависимости в стационаре .
выведение из запоя нижний новгород выведение из запоя нижний новгород .
прогнозы на спорт бесплатные https://rejting-kapperov13.ru/ .
квартирный переезд квартирный переезд .
вывод из запоя цена вывод из запоя цена .
капельница от запоя http://www.snyatie-zapoya-na-domu11.ru .
ламинированная фанера купить http://www.fanera-kupit11.ru/ .
бетонные изделия купить бетонные изделия купить .
ежедневный доход в интернете https://kak-zarabotat-v-internete12.ru .
врач на дом капельница от запоя врач на дом капельница от запоя .
вывод из запоя стационар http://vyvod-iz-zapoya-v-stacionare-samara.ru/ .
заработать в интернете заработать в интернете .
вывод из запоя стационар вывод из запоя стационар .
истинный запой https://vyvod-iz-zapoya-v-sankt-peterburge.ru .
снять ломку наркомана снять ломку наркомана .
карнизы с электроприводом и дистанционным карнизы с электроприводом и дистанционным .
онлайн казино онлайн казино .
интернет магазин саженцев с доставкой по россии интернет магазин саженцев с доставкой по россии .
лучшие капперы лучшие капперы .
почва грунт для цветов http://www.dachnik18.ru .
семена недорого интернет магазин https://www.semenaplus74.ru .
капельница от запоя капельница от запоя .
It’s intriguing how Mantle’s 3D technology addresses the challenges of scaling up from prototype to production, which is often a challenge for manufacturers.
This could lead to innovations we haven’t even thought of yet.
The decrease in production times in itself could have a major impact on manufacturing
efficiency throughout industries.
название игры с ракетой на деньги https://raketa-igra.fun/
Great overview of CNC capabilities for hydraulic components.
How has this technology impacted the bespoke solutions available to efficient hydraulic component services system designers?
I’ve been browsing online more than 3 hours today, yet I never found any interesting article like yours. It’s pretty worth enough for me. In my opinion, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the internet will be a lot more useful than ever before.