Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25 hadi kesho 26 Mei 2023, jijini Accra, Ghana.
Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25 hadi kesho 26 Mei 2023, jijini Accra, Ghana.
Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana (kushoto kwake) na Mhe. Wamkele Mene, Katibu Mkuu wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA – wa nne toka kulia); katika picha ya pamoja na viongozi wengine Mkutano wa Jukwaa la 7 la Uongozi Afrika (7th Africa Leadership Forum 2023) linalofanyika kuanzia leo tarehe 25 hadi kesho 26 Mei 2023, jijini Accra, Ghana.