KITAIFA

RAIS SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA VYAKULA VYA BAHARI ZANZIBAR

RAIS SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA VYAKULA VYA BAHARI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Biashara kwenye msimu wa pili waTamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigawa Boti hizo wa baadhi ya Waakilishi wa Vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakikata utepe kuzindua ugawaji wa Boti 40 za Uvuvi kwa ajili ya kukabidhi vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023. Viongozi wengine pichani ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

About Author

Bongo News

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *