KITAIFA

VIONGOZI WA WIZARA YA FEDHA WAWASILI OFISINI KUANZA KAZI BAADA YA KUAPISHWA

VIONGOZI WA WIZARA YA FEDHA WAWASILI OFISINI KUANZA KAZI BAADA YA KUAPISHWA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akipewa maua ya pongezi na Kamishna wa Kitengo cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FIU), Bi. Fatuma Simba, walipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiongoza Wizara hiyo.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akipewa maua ya pongezi na Mtumishi wa Wizara hiyo, Bi. Lucylily Mlay, alipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiongoza Wizara hiyo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Elijah Mwandumbya, wakiwa wamekabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo, walipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiongoza Wizara hiyo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa pili kushoto), Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Elijah Mwandumbya, wakiwa wamekabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo, walipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiongoza Wizara hiyo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), akipongezana na  Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) walipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuiongoza Wizara hiyo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Naibu wake, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wa nne kushoto), Manaibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Jenifa Omolo (wan ne kulia) na Bw. Elijah Mwandumbya (wa tatu kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Idara na Vitengo vya Wizara hiyo pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Mhe. Nathan Belete (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja walipowasili katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi wa Wizara hiyo kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

About Author

Bongo News

4 Comments

    possibility,エロ ラブドール friendship,

    medicamento priligy estudios clinicos When you boil okra with water, you get a clear mucilage that you may use to nourish your hair

    Транснациональные перевозки играет основную функцию в организации ввоза продукции в Россию. Это взаимосвязанный процесс, включающий перевозку грузов, таможенное оформление и организацию поставок. Грамотная стратегия и налаживание партнерских связей гарантируют эффективность и обеспечивают быструю перевозку.

    Одной из центральных задач в импорте является оптимизация способа доставки – https://mezhdunarodnaya-logistika-ved.ru/ . Для доставки в Россию используются комбинированные решения: морские перевозки экономически эффективны, авиационные — ценных грузов, а наземный транспорт — удобны для прямой доставки. Протяженность России нередко требует мультимодальные подходы.

    Не менее значимым процессом является работа с таможней. Грамотная обработка документации, соблюдение стандартов и учет санкционных ограничений минимизируют проблемы. Работа с профессионалами упрощает процесс, повышает прозрачность.

    Автоматизация процессов оптимизируют международную логистику. Технологии мониторинга, управленческие платформы и аналитические платформы улучшают эффективность поставок. Предприятия с этим реагировать на вызовы, оперативно управлять рисками и обеспечивать поставки.

    Транснациональные поставки основана на стратегии, профессионализма и подбора связей. Это главное звено, позволяющий отечественным бизнесам конкурировать на мировом рынке и работать на международном уровне.

    The technique used in the SHARE trial is adopted from the one described by Taghian and associates, including mini tangents plus en face electrons cytotec online cheap

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *