KITAIFA

RAIS SAMIA AWATEUA AMANI ABEID KARUME, ANNE MAKINDA WAKUU WA VYUO

RAIS SAMIA AWATEUA AMANI ABEID KARUME, ANNE MAKINDA WAKUU WA VYUO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

  1. Amemteua Mhe. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali
    ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha
    Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).
  2. Amemteua Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu kuwa
    Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Ushirika Moshi (MoCU).
    Uteuzi huu unaanza mara moja.
About Author

Bongo News

1 Comment

    Simply a smiling visitant here to share the love (:, btw outstanding design and style.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *