KIMATAIFA

RAIS DK SAMIA KUWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA LINDI

RAIS DK SAMIA KUWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA LINDI

KUTOKA LINDI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan leo mchana anatarajia kuweka jiwe la Msingi Hospitali ya Rufaa Lindi (MITWERO), ambayo kwa hadhi yake inafanana kabisa na Hospitali zingine kubwa Kama hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

Aidha wananchi wa Mkoani hapa wamefurahishwa sana na jitihada hizo za Rais Samia kuwajengea Hospitali hiyo kubwa na kupunguza kero waliyokuwa wanaipata hapo Mwanzo kusafiri nje ya mkoa kupata huduma za kitabibu kwa Magonjwa Sugu.

About Author

Bongo News

1 Comment

    Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *