Politics

VIONGOZI WA DINI WAJITOSA KUTOA MAONI MISWADA MINNE YA SHERIA ILIYOSOMWA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA

VIONGOZI WA DINI WAJITOSA KUTOA MAONI MISWADA MINNE YA SHERIA ILIYOSOMWA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA

Leo tarehe 9 Januari, 2024, Viongozi wa dini, Vyama vya siasa wameendelea kutoa maoni kuhusu Miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.

Miswada hiyo ni pamoja na;

Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023;

Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023;

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na

Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].

Vikao vya kupokea maoni ya wadau vinategemewa kuhitimishwa kesho tarehe 10 Januari, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni, Jijini Dodoma.

About Author

Bongo News

2 Comments

    Men Really Are More Disgusting Than WomenAnd let’s face it—men are objectively more disgusting than women.えろ 人形Bachelor pads have 15 times as many germs as women’s apartments—featuring specific yuck factors such as fecal material on their coffee tables—and men also have more bacteria on their hands and in their offices,

    ラブドールYour creativity in presenting this topic is truly inspiring.It’s not often that I come across such original content,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *