Uncategorized KITAIFA

SERIKALI YAHIMIZA VYOMBO VYA HABARI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA

SERIKALI YAHIMIZA VYOMBO VYA HABARI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA

Na Mwandishi wetu, Mwanza

Serikali imevihimiza vyombo vya habari nchini kuendelea kuhamasisha wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba,

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, ametoa wito huo kwa vyombo vya habari jana (leo) jijini Mwanza baada ya kutembelea vyombo vya habari vya kampuni ya Sahara Media Group.

Makoba ameeleza kuwa moja ya wajibu wa vyombo vya habari ni kutoa elimu hasa nyakati muhimu kama kwenye chaguzi za ngazi mbali ukiwemo uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa ambapo kama vyombo vya habari vina jukumu muhimu la kuhamasusha wananchi kujiandikisha na baadae kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa viongozi mbalimbali.

“Serikali inavishukuru sana vyombo vya habari kwa kazi kubwa ya kuwahabarisha Watanzania na tunatoa wito viendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu zoezi muhimu la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili Watanzania wote wenye sifa na vigezo wakajiandikishe”, amesisitiva Msemaji Mkuu wa Serikali.
Ameeleza kuwa mpaka sasa zoezi la uandikishaji linaendelea vyema na na kutoa wito kwa Watanzania wenye sifa na vigezo kutumia siku zilizobaki kwenda kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya kidemokrasia.

Aidha, pamoja na rai hiyo, katika mahojiano yake na RFA, Bw.Makoba amewashukuru wananchi wa Mkoa Geita na Mkoa wa Mwanza kwa mapokezi mazuri ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofanya ziara katika mikoa hiyo kwa ajili ya shughuli za kitaifa.

Rais Samia alitembelea mkoa wa Geita kwa ajili ya kufunga Maonesho ya Teknolojia ya Madini na baadae alielekea mkoa wa Mwanza kushiriki Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Maadhimisho ya Kumbukizi ya miaka 25 tangu kufariki Baba wa Taifa , Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

About Author

Bongo News

7 Comments

    Вован казино онлайн
    Представьте себе захватывающее пространство, где каждый
    ваш ход может изменить всё. Здесь вы
    найдете возможность испытать удачу и насладиться игрой.
    Каждый проигрыш – это просто шаг к следующей победе.
    А каждый выигрыш наполняет адреналином и радостью.
    Это действительно особое место
    для любителей азартных забав.

    В нашем виртуальном клубе мир эмоций и захватывающих переживаний откроется как никогда раньше.
    Вам не нужно ехать никуда. Достаточно только одного клика.

    Присоединяйтесь к множеству игроков, уже совершивших этот шаг!
    Здесь каждый найдет что-то для себя: от простых карточных игр
    до сложных стратегий.
    Побеждайте, наслаждайтесь и открывайте новые горизонты.
    Погружаясь в атмосферу непередаваемого волнения,
    вы сможете стать частью дружной комьюнити,
    где каждый матч – это шанс завести новые знакомства и пополнить
    копилку ярких впечатлений.

    Не упустите свою возможность раскрутить колесо
    удачи, перепробовать различные стратегии
    и зажигательно провести время в кругу единомышленников!

    вован казино на деньги

    Üsküdar su kaçağı tamiri Üsküdar’da profesyonel tesisat hizmeti almak isteyenlere Efsane Tesisat’ı tavsiye ederim. https://www.tamaiaz.com/blogs/237064/%C3%9Csk%C3%BCdar-Su-ka%C3%A7ak-tespiti

    Top Earning App in Pakistan|Amazing Earning Opportunity in Pakistan|Earning Potential in Pakistan|Earning App in Pakistan: Benefits|Profitable Earning App in Pakistan|Pakistan Earning Opportunities|Pakistan Right Choice for Processing|Best app for earning in Pakistan: time-tested|Pakistan: leader in earning|Innovative approach to earning in Pakistan
    apps to earn money in pakistan money earning app in pakistan .

    Top Earning App in Pakistan|Amazing Earning Opportunity in Pakistan|Earning in Pakistan: New Approach|Earning App in Pakistan: Benefits|Profitable Earning App in Pakistan|Pakistan Earning Opportunities|Pakistan Right Choice for Processing|New level of income in Pakistan|Interesting opportunities for earning in Pakistan|App that will make it easier to earn in Pakistan Pakistan
    apps for earning money in pakistan money app in pakistan .

    Most Popular Earning App in Pakistan|Easy Way to Earn in Pakistan|Innovative Earning Method in Pakistan|Earning App in Pakistan: Benefits|Pakistan High Earning Apps|Pakistan Earning Opportunities|Pakistan Right Choice for Processing|Pakistan High Paying App for earnings|Interesting opportunities for earning in Pakistan|Pakistan: best app for processing
    apps to earn money in pakistan pakistan earn money app .

    Best Earning App in Pakistan|Easy Way to Earn in Pakistan|Earning in Pakistan: New Approach|Pakistan Money Processing Software|Rate the Best Earning App in Pakistan|Pakistan Earning Opportunities|Successful Processing Method in Pakistan|Best app for earning in Pakistan: time-tested|Pakistan: leader in earning|App that will make it easier to earn in Pakistan Pakistan
    apps for earning money in pakistan money app in pakistan .

    Most Popular Earning App in Pakistan|Ideal Earning Option in Pakistan|Innovative Earning Method in Pakistan|Pakistan Money Processing Software|Profitable Earning App in Pakistan|Economic Earning in Pakistan|Pakistan Right Choice for Processing|Pakistan High Paying App for earnings|Effective methods of earning in Pakistan|Innovative approach to earning in Pakistan
    pakistan best earning app money making apps in pakistan .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *