Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero – Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8

Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao unatarajia kuhudumia wananchi 5,402, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Serikali Inaendelea kusimamia utoaji wa huduma za maji safi na salama nchini ili kuhakikisha hali ya upatikanaji wa maji inawafikia wananchi kwa asilimia 100
“Ndugu zangu wananchi, mradi huu ni matokeo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, kuweni na uhakika kwamba Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayewajali, anawapenda na anasikiliza changamoto zenu, endeleeni kutekeleza majukumu yenu ipasavyo kwasababu tunaye kiongozi madhubiti”

Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa ameiagiza RUWASA kuongeza na kusogeza vituo vya kuchotea maji karibu na wananchi “RUWASA hakikisheni miradi hii inatoa maji wakati wote”
Mradi huo ambao umefikia asilimia 80 ya ujenzi unahusisha ujenzi wa vituo sita vya kuchotea maji, Ukarabati wa vituo sita vya kuchotea Maji, Ukarabati wa Manywesheo mawili ya Mifugo, kuchimba mitaro ya kulaza bomba na kufukia mitaro mita 25,000
Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
8 Comments
Le code promo 1xBet valide: BONUS1X200 – recevez un bonus de bienvenue de 100% jusqu’à 130€ en utilisant ce code lors de votre inscription sur le site 1xBet. Bénéficiez d’un bonus jusqu’à 130€ en freebets sur vos paris sportifs, versé selon le montant de votre premier dépôt. Avec ce code, 1xBet vous offre l’un des meilleurs bonus de bienvenue pour débuter sur leur plateforme. Obtenez jusqu’à 130€ de freebets sur les paris sportifs. Pour retirer les gains issus de votre bonus, il faudra miser 5 fois son montant sur des paris combinés avec au moins 3 matchs ayant une cote de 1.30 minimum. Pour les amateurs de casino, 1xBet propose également un bonus allant jusqu’à 1 950€ + 150 freespins + 150 freespins.
http://olondon.ru/include/pgs/?serialu_pro_sverhsposobnosti__mir_udivitelnuh_vozmozghnostey.html гослото 4 из 20 проверить билет
http://stoljar.ru/wp-content/pages/luchshie_filmu_33.html ютюб или ютуб видео фильмы
zo0wp5
https://adyghe.ru/manul/inc/?filmu_onlayn_na_kinogo_3.html кино на яндекс плюс смотреть онлайн
http://electrotrade.biz/images/pages/?filmu_pro_samoletu___zahvatuvaushiy_mir_v_nebe.html 1 tv ru онлайн фильмы и сериалы смотреть бесплатно
http://arbaletspb.ru/img/pgs/?luchshie_filmu_dlya_prosmotra.html пилигрим смотреть онлайн бесплатно в хорошем качестве все серии
https://www.hm.kg/themes/pgs/luchshie_filmu_o_prognoze_pogodu.html песни из мафии 2 скачать