BASHUNGWA AAPISHWA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA JESHI LA POLISI, MAGEREZA, ZIMAMOTO NA UHAMIAJI.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo Jumuishi cha Utoaji wa Haki […]
Read More