WASIRA AFUNGUKA :CCM TUTASHIKA DOLA KWA KURA ,SI BUNDUKI

WASIRA AFUNGUKA :CCM TUTASHIKA DOLA KWA KURA ,SI BUNDUKI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania. Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa […]

Read More
 ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KWA WAKANDARASI

ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KWA WAKANDARASI

· Walipwa zaidi ya bilioni 254 ndani ya siku 60 · Lengo ni kumalizia miradi ya barabara, madaraj Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo […]

Read More
 CG MWENDA APITA MLANGO KWA MLANGO KUZUNGUMZA NA WALIPAKODI IGUNGA

CG MWENDA APITA MLANGO KWA MLANGO KUZUNGUMZA NA WALIPAKODI IGUNGA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita mlango kwa mlango kwa Wafanyabiashara kwa lengo la kuwashukuru, kuwasikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili. Kamishna Mkuu Mwenda akiambatana na Uongozi wa TRA alifika katika baadhi ya maduka na kutoa shukurani pamoja na […]

Read More
 WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano baina yao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda Wafanyabiashara hao wamesema wanajivunia kulipa Kodi kutokana na maendeleo makubwa yanayofanywa na […]

Read More
 “TUTAENDELEA KUSIMAMIA USTAWI WA BIASHARA NCHINI” CG MWENDA

“TUTAENDELEA KUSIMAMIA USTAWI WA BIASHARA NCHINI” CG MWENDA

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itaendelea kusimamia ustawi wa biashara nchini kwa kuhakikisha kuwa hakuna biashara inayokufa ili uchumi wa nchi uendelee kuimarika. Akizungumza na Wafanyabiashara mkoani Singida Februari 05.2025 Kamishna Mkuu wa TRA amesema miongoni mwa majukumu ya TRA ni kuwezesha ukuaji wa biashara na […]

Read More
 WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI

WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO WATAKIWA KUWAFICHUA WAKWEPA KODI

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka Wafanyabiashara wa Kariakoo Jijini Dar es Salaam kuwafichua watu wanaokwepa Kodi kwa namna mbalimbali ili wachukuliwe hatua na kuleta ushindani uliosawa sokoni. Akizungumza leo tarehe 04/02/2025 wakati wa kuwasimika Mabalozi wa nyumba kwa nyumba kwaajili ya kusimamia zoezi la kurasimisha biashara ili […]

Read More
 RAIS SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DKT. BITEKO

RAIS SAMIA AMEING’ARISHA CHAMWINO KIMAENDELEO – DKT. BITEKO

📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati ipo salama Na Mwandishi Wetu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya kuing’arisha Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali za […]

Read More
 KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi ya walipakodi Kodi kwa hiari na kuleta usawa katika ulipaji wa Kodi. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja baina ya Askofu Mkuu wa KKKT Dk. Alex Malasusa na Kamishna Mkuu wa […]

Read More