WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

📌 Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa 📌 Rais Samia kinara wa Michezo nchini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea katika mashindano wa CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Read More
 TAKUKURU KUSHIRIKIANA NA TRA KATIKA UKUSANYAJI KODI

TAKUKURU KUSHIRIKIANA NA TRA KATIKA UKUSANYAJI KODI

Na Mwandishi Wetu, DarMkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Crispin Francis Chalamila leo tarehe 14/01/2025 amesema Taasisi hiyo itaendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kuhakikisha Kodi ya Serikali inakusanywa kikamilifu. Akiwa katika mazungumzo na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini […]

Read More
 MARIA SARUNGI AFUNGUKA KILA KITU CHANZO CHA KUTEKWA, ALITEKWA NA WATU WANNE WASIOJULIKANA

MARIA SARUNGI AFUNGUKA KILA KITU CHANZO CHA KUTEKWA, ALITEKWA NA WATU WANNE WASIOJULIKANA

Mwanaharakati wa Haki za Binadamu nchini Tanzania, Maria Sarungi , amehojiwa na kituo cha Televisheni cha NTV, Kenya, na kuelezea namna alivyotekwa na watu wasiojulikana. Taarifa za Maria kutekwa zilisambaa jana Jumapili, Januari 12, ambapo baadaye jioni Maria alijitokeza na kusema watekaji wamemuachia na yupo salama. “Nipo salama nitazungumza kesho”alisema Katika mahojiano na kituo hicho […]

Read More
 MAONI YA VIONGOZI WA DINI NI MUHIMU DIRA 2050- PROF. KITILA

MAONI YA VIONGOZI WA DINI NI MUHIMU DIRA 2050- PROF. KITILA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka bayana mwelekeo wa Taifa kupitia Dira mpya ya Maendeleo 2050, akisisitiza umuhimu wa kujenga taifa jumuishi lenye ustawi, haki, na linalojitegemea. Akizungumza Jumatatu, Januari 13, 2025, katika Mkutano wa Kamati ya Dini Mbalimbali Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, […]

Read More
 ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KUSINI, S114BILIONI KUKARABATI BARABARA, MADARAJA

ULEGA ATANGAZA NEEMA YA RAIS SAMIA KUSINI, S114BILIONI KUKARABATI BARABARA, MADARAJA

*Taa kuangaza barabara kuelekea Kusini Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya Kusini zilizoharibiwa na mvua za El Nino huku akiagiza taa za kutosha kuwekwa kwenye barabara kuu kuelekea mikoa ya Kusini. Akizungumza katika maeneo tofauti wakati wa ziara yake […]

Read More
 TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

TRA NJOMBE YAWAFUATA WALIPAKODI NA KUGEUZA GARI KUWA OFISI

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Njombe imelazimika kugeuza gari kuwa ofisi baada ya kuwafuata Walipakodi katika kijiji cha Ukalawa wilaya ya Njombe vijijini Jimbo la Lupembe umbali wa Km 75.9 kutoka Njombe mjini kwa lengo la kuwapelekea huduma karibu na maeneo yao. Akizungumza wakati wa zoezi hilo Afisa Msimamizi wa Kodi mkoa wa […]

Read More