CHADEMA WASILAZIMISHWE, UCHAGUZI LAZIMA UFANYIKE, UPO KWA MUJIBU WA KATIBA –DKT. NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 utafanyika kama ilivyoelekezwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna mtu binafsi, chama au mamlaka yoyote, hata ya juu serikalini, inayoweza kuzuia kufanyika kwake. Akizungumza katika Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la […]
Read More