WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA -MAJALIWA

WAFANYABIASHARA TUENDELEE KUWA NA IMANI NA RAIS SAMIA -MAJALIWA

▪Ampongeza Kamishna TRA kwa kusimamia Weledi patika ukusanyaji wa kodi ▪Atembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya parachichi WAZIRI MKUU,  Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto zinazohusu masuala ya kodi. Amesema Rais Dkt. Samia anajali changamoto za wafanyabiashara na ndio maana […]

Read More
 TOENI MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA-MAJALIWA

TOENI MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.” Ametoa wito huo leo (Jumanne, Machi […]

Read More
 WAZIRI MKUU AZINDUA MSIKITI WA NUURIL HIKMA.

WAZIRI MKUU AZINDUA MSIKITI WA NUURIL HIKMA.

▪Awataka waumini kuutunza msikiti huo▪Atoa wito kwa viongozi wa dini kuliombea Taifa na kukemea maovu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 amezindua msikiti wa Masjid Jaami’u Nuuril Hikma uliopo mtaa wa Yombo, Temeke jijini Dar es Salaam ambao umejengwa na Taasisi ya Al-Hikma. Akizungumza baada ya kuzindua msikiti huo, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa […]

Read More
 TANZANIA NI TAIFA LINALOENDESHWA VIZURI AFRIKA- BENKI YA DUNIA, YAPONGEZA MAENDELEO YA MIRADI YA UJENZI TANZANIA

TANZANIA NI TAIFA LINALOENDESHWA VIZURI AFRIKA- BENKI YA DUNIA, YAPONGEZA MAENDELEO YA MIRADI YA UJENZI TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, Dkt. Zarau Kibwe, amepongeza uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa ni chanzo cha kuongezeka kwa kiwango cha mkopo ambacho Tanzania inaweza kupata kutoka Benki ya Dunia, kutoka Dola bilioni 5 (zaidi ya Shilingi trilioni 10) hadi Dola bilioni 12 za Marekani (zaidi ya Shilingi […]

Read More
 WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA MABASI NZEGA MJINI UJENZI WAGHARIMU SH4.327BILIONI

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA KITUO CHA MABASI NZEGA MJINI UJENZI WAGHARIMU SH4.327BILIONI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 4.327. Akizungumza baada ya kuzindua kituo hicho ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia 100, Mheshimiwa Majaliwa ameipongeza halmashauri hiyo kwa uamuzi wa ujenzi wa kituo hicho kwani kitaibua fursa za biashara kwa wakazi wa […]

Read More