4R’s ZA RAIS SAMIA ZAITIKISA GENEVA

4R’s ZA RAIS SAMIA ZAITIKISA GENEVA

Akizungumza  wakati akiiwakilisha Nchi ya Tanzania katika Kikao cha 58 Cha Haki za Binadamu kinachofanyika Geneva Nchini Uswisi Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr. Damas Ndumbaro (Mb) amesema kuwa,   Nchi ya Tanzania imeendelea kuweka kipaumbele katika uendelezaji na ulinzi wa Haki za Binadamu katika utekelezaji wa shughuli za Serikali. Waziri Ndumbaro amesema  kupitia Katiba ya […]

Read More
 MCHOME KUUNGURUMA ARUSHA, APANIA KUWEKA KILA KITU HADHARANI

MCHOME KUUNGURUMA ARUSHA, APANIA KUWEKA KILA KITU HADHARANI

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lembrus Mchome, anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari leo saa 5 asubuhi, jijini Arusha. Pamoja na mambo mengine, mkutano huo utatoa picha ya kinachoendelea katika chama chake, ukiwepo mpango wa kufukuzwa na viongozi wa juu wa chama hicho kwa kile kilichoelezwa kuwa […]

Read More
 KILIO CHA BARABARA YA SONI-BUMBULI-KOROGWE CHAFIKA MWISHO, RAIS SAMIA ATANGAZA RASMI KUANZA KWA UJENZI

KILIO CHA BARABARA YA SONI-BUMBULI-KOROGWE CHAFIKA MWISHO, RAIS SAMIA ATANGAZA RASMI KUANZA KWA UJENZI

Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni – Bumbuli – Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa kuwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu na […]

Read More
 RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI BUMBULI: “JENGO HILI NI LA WANANCHI, HUDUMA ZOTE ZITAPATIKANA HAPA”

RAIS SAMIA AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI BUMBULI: “JENGO HILI NI LA WANANCHI, HUDUMA ZOTE ZITAPATIKANA HAPA”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa miradi ya maendeleo kwa wananchi. Mara baada ya kuzindua jengo hilo, Rais Samia ameeleza furaha yake kwa kupokelewa vizuri na wananchi wa Bumbuli wakiongozwa na Mbunge […]

Read More
 RAIS SAMIA KUENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI TANGA LEO

RAIS SAMIA KUENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI TANGA LEO

Muda mfupi ujao, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. @SuluhuSamia , ataendelea na ziara yake mkoani Tanga kwa siku ya pili, akitekeleza mikakati ya kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Katika muendelezo wa ziara hiyo, Rais Samia anatarajiwa kufungua rasmi Jengo la Halmashauri ya Bumbuli, hatua inayolenga kuboresha utoaji wa huduma za […]

Read More
 “MSAADA WA KISHERIA NI HITAJI LA MUHIMU KWA WANANCHI WANYONGE TUKATEKELEZE KWA WELEDI” KATIBU MKUU MASWI

“MSAADA WA KISHERIA NI HITAJI LA MUHIMU KWA WANANCHI WANYONGE TUKATEKELEZE KWA WELEDI” KATIBU MKUU MASWI

WATAALAM wa Utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayojulikana kama” Mama Samia Legal Aid” Mkoani Mbeya wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuwasaidia Wananchi kutatua migogoro yao na kupata Haki zao kwa wakati. Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Eliakim Maswi ametoa wito huo wakati akifungua mafunzo kwa Wataalam hao yaliyolenga […]

Read More
 SIKU MBILI ZA MAMA SAMIA LEGAL AID WILAYA YA MTAMA YATATUA MIGOGORO 27 KATI YA 32

SIKU MBILI ZA MAMA SAMIA LEGAL AID WILAYA YA MTAMA YATATUA MIGOGORO 27 KATI YA 32

Akizungumza na Wananchi wa Mnolela Ijumaa Februari 21,2025 Mratibu wa Kampeni ya Msaada ya Kisheria ya Mama Samia Wakili  Rockus  Komba amesema kuwa wamefanya mikutano katika vijiji sita na kuweza kutatua migogoro  ikiwemo migogoro ya Ardhi pamoja na familia. Amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inasaidia sana kwa Wananchi ambao hawawezi […]

Read More