RAISA SAMIA MGENI RASMI MIAKA 60 YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma Julai 8, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT yatakayofanyika Julai 10, 2023 jijini Dodoma. Hayo yamesemwa leo Julai 8, […]
Read More