REDIO NA RUNINGA 38 DUNIANI ZINARUSHA MATANGAZO KWA LUGHA YA KISWAHILI
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah amewataka Wahariri kushirikiana na mabaraza ya Kiswahili ya BAKITA na BAKIZA ili kuendeleza lugha ya Kiswahili. Amesema kuwa lugha ya Kiswahili imevuka mipaka na sasa kuna redio na runinga 38 duniani zinazorusha matangazo yao kwa kutumia lugha ya Kiswahili ndiyo maana […]
Read More