WARAIBU KUNUFAIKA NA MIKOPO 10%
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wake wa kuongeza kundi la waraibu wa dawa za kulevya katika wanufaika wa mikopo ya fedha zitokanazo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri nchini ili waweze kufanya shughuli za kujitegemea. Hayo yamesemwa hivi […]
Read More