WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA UHAKIKI ANUANI ZA MAKAZI

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari sasa inaendesha zoezi la uhakiki wa taarifa za anuani za makazi ili kwa wale ambao waliachwa na mchakato wa awamu ya kwanza waweze kupatiwa anuani sambamba na kuhakikiwa taarifa zao. Zoezi hilo limeanza katika wilaya ya Ubungo kabla halijasambaa […]

Read More
 MANDONGA ATAMBULISHA NGUMI YAKE MPYA KATIKA MAONESHO YA SABASABA

MANDONGA ATAMBULISHA NGUMI YAKE MPYA KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Bondia Machachari Bw. Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo “Kingugi” anayotarajia kuitumia kwenye mchezo wa marudiano na Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya. Mandonga ametangaza ngumi hiyo Juni 29, 2023 kwenye maonesho ya 47 ya Kimataifa Sabasaba ambayo yanaendelea jijini Dar es […]

Read More
 RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyauteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu waNdani wa Serikali kama ifuatavyo:1) Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Mbarouk SalimMbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. JajiMstaafu Mbarouk ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa […]

Read More
 WAZIRI MKUU: MJADALA WA BANDARI USILIGAWE TAIFA

WAZIRI MKUU: MJADALA WA BANDARI USILIGAWE TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie nafasi hiyo kutugawa kiitikadi, kidini au kisiasa. Sisi ni wamoja na jambo letu ni moja. Serikali […]

Read More
 WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mawaziri na Wabunge baada ya kutoa hoja ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge la 12 mpaka Agosti 29, mwaka huu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote nchini zihakikishe maeneo yote yanayotwaliwa kutoka kwa wananchi yanalipiwa fidia kwa wakati ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza siku za usoni.  Amesema […]

Read More
 KUBENEA AIPONGEZA SERIKALI KURUHUSU GAZETI LA MWANAHALISI KURUDI MTAANI

KUBENEA AIPONGEZA SERIKALI KURUHUSU GAZETI LA MWANAHALISI KURUDI MTAANI

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya HaliHalisi Publishers linalochapisha gazeti la MwanaHalisi, Saed Kubenea amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kulifungulia gazeti hilo pamoja na magazeti mengine ambayo yalikuwa yanefungwa na Serikali ya mtangulizi wake. Akizungumza leo Juni 28,2023 Jijini Dar es Salaam, ameiomba Serikali na Mamlaka zake endapo litaona gazeti hilo limeandika […]

Read More