DKT BITEKO AWAPA SOMO EWURA, ATAKA UENDELEVU KATIKA UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Na. Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kunakuwa na uendelevu wa upatikanaji wa mafuta kwa wakati wote kwa gharama halisi, kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya sheria na kutatua malalamiko ya wateja kwa haraka ili […]
Read More