DKT. MSONDE ASISITIZA WALIMU KUPEWA HUDUMA BORA

DKT. MSONDE ASISITIZA WALIMU KUPEWA HUDUMA BORA

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde akikagua moja ya miundombinu ya elimu inayojengwa katika Halmashuri ya Wilaya ya Uyui akiwa katika ziara yake ya kikazi wilayani humo. Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Dkt. Charles Msonde amewataka […]

Read More
 MAJENGO MAPYA YA WIZARA KUANZA KUTUMIKA JANUARI 2024

MAJENGO MAPYA YA WIZARA KUANZA KUTUMIKA JANUARI 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania  ambao upo katika Kata ya Ihumwa kilomita 17 kutoka katikati ya mji wa Dodoma wenye ukubwa wa ekari 1,542.88 uliogawanyika  katika maeneo tofauti ya […]

Read More
 DKT. MSONDE AELEKEZA NGUVU KAZI IONGEZWE UTEKELEZAJI MIRADI YA MIUNDOMBINU YA ELIMU SIKONGE NA TABORA MANISPAA

DKT. MSONDE AELEKEZA NGUVU KAZI IONGEZWE UTEKELEZAJI MIRADI YA MIUNDOMBINU YA ELIMU SIKONGE NA TABORA MANISPAA

Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Charles Msonde akisisitiza jambo wakati akikagua ujenzi wa bweni katika Shule ya Sekondari ya Milambo iliyopo Manispaa ya Tabora. Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Dkt. Charles Msonde amewaelekeza viongozi wa Halmashauri yaWilaya […]

Read More
 CHINA KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA TANZANIA KATIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA KUZALISHA MAJI

CHINA KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA TANZANIA KATIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA KUZALISHA MAJI

BALOZI wa China nchini Tanzania Mhe.Chen Mingjian amefanya ziara kutembelea na kukagua Maendeleo ya Utekelezaji wa Mradi wa upanuzi wa Mtambo wa kuzalisha Maji Wami ambapo ameahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wasimamizi wa mradi huo DAWASA. Akizungumza katika ziara hiyo leo Juni 26,2023 amesema Serikali ya China iko tayari kuendelea kushirikiana na Serikali ya […]

Read More