TANZANIA, ITALIA ZATILIANA SAINI YA MSAADA KUWEZESHA USAJILI WATOTO MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Marco Lombardi (kushoto), wakisaini hati ya makubaliano ya msaada wa Euro 410,000 (sawa na shilingi bilioni 1 za Tanzania) uliotolewa kupitia shirika lake la Maendeleo (AICS), kwa ajili ya programu ya kuimarisha mfumo wa takwimu […]
Read More