TANZANIA KUFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI INDONESIA

TANZANIA KUFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI INDONESIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi, ikiwa ni pamoja na kufungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo hapo Tarehe 22 Juni, 2023. Mhe. Dkt. Tax baada ya kuwasili Jakarta amepokelewa […]

Read More
 DC MOYO AONDOA SINTOFAHAMU KATIKA MLIMA CHILALO

DC MOYO AONDOA SINTOFAHAMU KATIKA MLIMA CHILALO

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akiongea na wananchi wa Kijiji cha Mbute juu ya sintofahamu ya uchimbaji wa madini katika mlima Chilalo Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amefanikiwa kuondoka sintofahamu kwa wananchi wa Kijiji cha Mbute iliyokuwa imetanda juu ya uchimbaji wa madini ya Graphite  katika mlima ChilaloAkizungumza wakati […]

Read More
 KATIBU MKUU DKT. YONAZI ATETA NA MAAFISA HABARI

KATIBU MKUU DKT. YONAZI ATETA NA MAAFISA HABARI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Dkt Jim Yonazi akizungumza na Maafisa Habari  wa Wizara pamoja na Taasisi kutoka  Zanzibar. KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewataka Maafisa habari Serikalini kuendelea kuwa wabunifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI AISHUKURU TAASISI YA UTAFITI WA KIMATAIFA MATIBABU YA HENRY JACKSON KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI

WAZIRI KAIRUKI AISHUKURU TAASISI YA UTAFITI WA KIMATAIFA MATIBABU YA HENRY JACKSON KWA KUCHANGIA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kimataifa wa Matibabu ya Henry Jackson, Meja Generali Mstaafu Dkt. Joseph Caravalho ambaye taasisi yake inatoa mchango katika mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI. Waziri […]

Read More
 KATIBU MKUU UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ASISITIZA WATENDAJI SEKTA YA SANAA KUWA WABUNIFU KATIKA UTENDAJI KAZI

KATIBU MKUU UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO ASISITIZA WATENDAJI SEKTA YA SANAA KUWA WABUNIFU KATIKA UTENDAJI KAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia)akipewa taarifa ya utendaji kazi na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania naMtendaji Mkuu Nyakaho Mahemba (kushoto) Juni 20, 2023 jijini Dar es Salaam wakatiwa ziara ya kikazi katika wa Mfuko huo. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amewasisitiza […]

Read More