WAZIRI TAX AWAAGA MABALOZI WA EU, UJERUMANI NA NORWAY

WAZIRI TAX AWAAGA MABALOZI WA EU, UJERUMANI NA NORWAY

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa uwakilishi. Dkt. Tax amewaaga mabalozi hao katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Mabalozi walioagwa ni Balozi wa Jumuiya ya Umoja […]

Read More
 PEMBA WAFIKIWA NA HUDUMA BOBEZI ZA MATIBABU YA MOYO

PEMBA WAFIKIWA NA HUDUMA BOBEZI ZA MATIBABU YA MOYO

Daktari bingwa mbobezi wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tulizo Shemu akimwelezea mkazi wa Pemba jinsi upasuaji wa moyo wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo jinsi unavyofanyika katika Taasisi hiyo wakati wa kambi ya matibabu ya siku tano inayofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Abdulla Mzee iliyopo wilaya ya […]

Read More
 SERIKALI YATOA SHILINGI BILIONI 3.6 KUBORESHA MIUNDOMBINU JKCI

SERIKALI YATOA SHILINGI BILIONI 3.6 KUBORESHA MIUNDOMBINU JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Peter Kisenge akimuelezea Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghemaendeleo ya ujenzi wa jengo la Utawala na vipimo alipotembelea jengo hilo leokwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ujenzi. Shilingi bilioni 3.6 zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Dkt. Samia Suhulu Hassan kujenga […]

Read More
 TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA YOGA DUNIANI

TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA YOGA DUNIANI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. SaidiYakubu akishiriki mazoezi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Yoga Duniani ambayohuadhimishwa Juni 18, kila mwaka ambayo yamefanyika katika viwanja vya Gym Kanajijini Dar es salaam.kwa Tanzania na kuhudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Baloziwa India nchini Bw. Binaya Srikanta Pradhan na Mratibu Mkazi wa Umoja wa […]

Read More