RAIS SAMIA APOKEA GAWIO LA SERIKALI TSH. BIL. 45.5 KUTOKA BENKI YA NMB, KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA BENKI HIYO

RAIS SAMIA APOKEA GAWIO LA SERIKALI TSH. BIL. 45.5 KUTOKA BENKI YA NMB, KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA BENKI HIYO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Bilioni 45.5 (Gawio la Serikali) kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Benki ya NMB yaliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaamtarehe 17 Juni, 2023. Wengine katika […]

Read More
 KAMATI YA BAJETI: YAIPONGEZA MAHAKAMA KWA KUPIGA HATUA MATUMIZI YA TEH

KAMATI YA BAJETI: YAIPONGEZA MAHAKAMA KWA KUPIGA HATUA MATUMIZI YA TEH

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa mada leo tarehe 16 Juni 2023 jijini Dodoma wakati wa mafunzo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu maboresho yanayoendelea kufanywa na Mahakama. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mahakama ya Tanzania kutokana na  hatua kubwa iliyopiga kwenye matumizi ya Teknolojia ya Habari […]

Read More
 PROF. MBARAWA: BARABARA ZA EPC + F HAZITALIPIWA

PROF. MBARAWA: BARABARA ZA EPC + F HAZITALIPIWA

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa utiaji saini wa miradi ya ujenzi wa barabara saba zenye urefu wa kilometa 2,035 jijini Dodoma Juni 16, 2023 Serikali imesema kuwa utekelezaji wa miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F haitalipiwa na wananchi watakaotumia barabara hizo kama ambavyo baadhi […]

Read More
 SERIKALI YAZIDI KUWEKA MIKAKATI KATIKA KUIMARISHA MAADILI

SERIKALI YAZIDI KUWEKA MIKAKATI KATIKA KUIMARISHA MAADILI

Mwakilishi wa Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw.Cosmas Ngangaji akizungumza Jijini Dodoma  na Maafisa Waandamizi kwenye kikao kazi kilichozikutanisha Taasisi Simamizi za Maadili na Vyama vya Kitaaluma kwa lengo la kusimamia dhana ya utawala bora katika utoaji huduma kwa wananchi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Madilli kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Leila […]

Read More
 SERIKALI NA CCM KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MICHEZO NCHINI

SERIKALI NA CCM KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MICHEZO NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubuakiongoza kikao cha pamoja na kati ya Wizara na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM) kilichofanyika Juni 16, 2023 jijini Dodoma ambapo wamejadili namna bora yakuboresha miundombinu ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha […]

Read More
 JAJI MKUU MSTAAFU OTHMAN AWATAKA MAJAJI WAPYA WA RUFANI KUKIDHI MATARAJIO YA WANANCHI

JAJI MKUU MSTAAFU OTHMAN AWATAKA MAJAJI WAPYA WA RUFANI KUKIDHI MATARAJIO YA WANANCHI

Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othmanakiwasilisha mada  tarehe 15 Juni, 2023 katika Mafunzo Elekezi ya Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani Tanzania yanayomalizika leo tarehe 16 Juni, 2023  katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto  (IJA). Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani  Tanzania, kutambua kuwa wananchi wana matumaini makubwa na uteuzi […]

Read More
 NAMIBIA YAIPONGEZA TANZANIA KUWEKEZA KATIKA MATIBABU

NAMIBIA YAIPONGEZA TANZANIA KUWEKEZA KATIKA MATIBABU

Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.Anjela Muhozya akiwaeleza wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Masuala ya Usawa wa Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Familia kutoka Bunge la Namibia aina ya upasuaji wa moyo unaofanyika katika Taasisi hiyo wakati wabunge hao walipotembelea JKCI leo kwaajili ya kuona huduma za […]

Read More
 MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

MHE.SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka ofisini na kwenda sehemu ambako huduma za kijamii zinatolewa kwa kuwa huko kuna malalamiko mengi ya wananchi kuhusu kutondewa haki katika kupata huduma. Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati […]

Read More
 TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI

TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisalimiana na Balozi wa Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan wakati maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Urusi Juni 14, 2023) Jijini Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa […]

Read More
 MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI

MADINI MKAKATI YAJADILIWA MKUTANO WA 9 WA EITI

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akizungumza katika mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Uwazi na Uwajibikaji Jijini Dakar, Senega Mkutano wa Kimataifa wa Asasi ya Kimataifa ya Uwazi na Uwajibikaji (EITI – Extractive Industry Transparency Initiative) uliofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia tarehe 13 -14 Juni 2023 umejadili fursa mbalimbali kwenye Sekta ya […]

Read More