LUKUVI, BULEMBO WATEULIWA KUWA WASHAURI WA RAIS

LUKUVI, BULEMBO WATEULIWA KUWA WASHAURI WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanvauteuzi Washauri wa Rais wafuatao:-(i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais(Siasa na Uhusiano wa Jamii). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo laIsmani, Iringa;(ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo kuwa Mshauri wa Rais (Siasa naUhusiano wa Jamii). Bw. Bulembo ni Mbunge Mstaafu;(iii) […]

Read More
 SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

SERIKALI KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO JIJINI ARUSHA

Viongozi akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw.Saidi Yakubu (wa tatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. JohnMongela (wa pili kulia) wakioneshwa ramani ya eneo utakapojengwa uwanja wamichezo Arusha. Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja […]

Read More
 KATIBU MKUU-UTUMISHI ATAKA MALALAMIKO, MAONI YA WANANCHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUPITIA MIFUMO YA KIDIGITALI

KATIBU MKUU-UTUMISHI ATAKA MALALAMIKO, MAONI YA WANANCHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUPITIA MIFUMO YA KIDIGITALI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akifungua kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Taasisi za Umma na Vyama vya Kitaaluma kilicholenga kujadili matumizi na uendeshaji wa mifumo ya kidigitali kilichofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi amewataka Wakuu wa Idara ya Utawala […]

Read More

SERIKALI ITAJENGA MAGHALA YA CHAKULA NCHI NZIMA-SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesemaSerikali imepanga kununua chakula na kuweka akiba katika maghala kwa kiasi chatani laki tano kwa mwaka huu ikilinganishwa na tani laki mbili na hamsini kwa mwakauliopita.Rais Samia ameyasema hayo leo katika Tamasha la Utamaduni la Bulabo ambalo nisherehe za kumshukuru Mungu kwa mavuno lililofanyika […]

Read More
 USANIFU KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA MPAKA WA MANYOVU WAKAMILIKA

USANIFU KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA MPAKA WA MANYOVU WAKAMILIKA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akijibu swali bungeni, jijini Dodoma Serikali imeeleza kuwa imekamilisha usanifu wa Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani (One Stop Boarder Post- OSBP) Manyovu kilichopo mkoani Kigoma na ujenzi upo kwenye taratibu za awali za kumpata mkandarasi. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri […]

Read More
 BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO SHERIA YA PPP

BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO SHERIA YA PPP

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiwasilisha bungeni, Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2023, jijini Dodoma  Bunge limepitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2023 ambayo itawasilishwa […]

Read More