DKT. TAX AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU, WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA ITALIA JIJINI ROMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akisalimiana na mwenyeji wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Antonio Tajani walipokutana kwa mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake jijini Roma, Italia tarehe 9 Juni, 2023. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika […]
Read More