Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Moshi Kakoso (Kushoto), akipata elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya kutoka kwa Eng. Jacob Mukasa wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba akitoa maoni yake kuhusu matumizi ya mfumo wa ufuatiliaji wa hali ya barabara katika banda la Bodi ya Mfuko wa Barabara Bungeni jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Pastory Ushindi, Comfort Mgarula pamoja na Segolena Francis wote kutoka Bodi ya
Mfuko wa Barabara.
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zuberi Kuchauka akipakua Barabara App kwenye simu yake baada ya kupata elimu ya matumizi ya mfumo huo inayotolewa na Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Segolena Francis na Comfort
Mgarula kutoka Bodi ya Mfuko wa Barabara.
Mbunge wa Bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Fransis Ndulame (Kushoto), akisalimiana na Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Eng. Rashid Kalimbaga wakati wa zoezi la utoaji elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara inayotolewa na
Bodi ya Mfuko wa Barabara, Bungeni jijini Dodoma.
picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wakati Bodi hiyo ikitoa elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa kieletroniki wa ufuatiliaji wa hali ya barabara, Bungeni jijini.
2 Comments
ダッチワイフ と はand create safe environments within which the child could grow and develop.The psychopathic mother’s actions and inactions most certainly present huge risks for their children.
It has a soft,ラブドール メーカーskin-like touch to it.